Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANJO YA KICHAA CHA MBWA HUTOLEWA MDA GANI?(Rabies vaccine)

 KICHAA CHA MBWA

• • • • •

CHANJO YA KICHAA CHA MBWA HUTOLEWA MDA GANI?(Rabies vaccine)


Bila shaka umewahi kusikia kwamba,Mbwa mwenye kichaa akikung’ata ni hatari sana hivo lazima upate tiba ya haraka.


Je chanzo hii ya kuzuia kichaa cha Mbwa hutakiwa kutolewa muda gani?


UTANGULIZI; Ukisikia mbwa ana Kichaa maana yake ni kwamba, Mba huyo amebeba Virusi vya Kichaa ambavyo kwa kitaalam Hujulikana kama RABIES VIRUS,


Hivo basi endapo mbwa huyu akikung’ata, Moja kwa moja anahamisha virusi hawa na kuwapeleka kwenye mwili wako, hapo ndyo madhara huanza kutokea.


CHANJO YA KICHAA CHA MBWA HUTOLEWA MDA GANI?(Rabies vaccine)


Chanzo ya kuzuia virusi hawa Maarufu kama Rabies huweza kutolewa kabla ya mtu kung’atwa na Mbwa au kutolewa mda mfupi tu baada ya kung’atwa na Mbwa huyu mwenye Kichaa.


DALILI ZA MTU AMBAYE TAYARI VIRUSI HAWA WA RABIES WAMEANZA KUMLETEA MADHARA MWILINI


✓ Kuanza kupa maumivu makali ya kichwa


✓ Mwili kukosa nguvu kabsa


✓ Kujawa na hofu na wasi wasi mkubwa


✓ Mtu kupatwa na hali ya kuyaogopa maji yaani Hydrophobia


✓ Joto la mwili kuwa juu au Mtu kuwa na homa


✓ Mtu kupooza au paralysis

n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.