Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA TATIZO LA KUHARISHA,TUMBO KUJAA GESI BAADA YA KUNYWA MAZIWA

 MAZIWA

• • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA KUHARISHA,TUMBO KUJAA GESI BAADA YA KUNYWA MAZIWA


Kuna baadhi ya watu baada ya kunywa maziwa au kula vitu vyovyote ambavyo vina products za maziwa ndani yake huanza kupata madhara mbali mbali kama vile;


– Tumbo kujaa gesi sana


– Tumbo kuuma sana


– Tumbo kunguruma sana


– Kutapika sana


– Au kuharisha sana

Je tatizo hili husababishwa na nini? chanzo chake ni kipi?


CHANZO CHA TATIZO HILI


✓ Kutokana na tafiti  mbali mbali za kitaalam,shida hii ambayo hutokea baada ya mtu kunywa maziwa au kula vitu vyenye maziwa ndani yake hutokana na Mfumo wa umeng’enyaji kushindwa kumeng’enya Lactose.


Hali hii hutokana na utumbo mdogo kushindwa kuzalisha vimeng’enyaji vya kutosha yaani enzymes ambao wanajulikana kwa jina la LACTASE ambao ndyo huhusika na kumeng’enya sukari iliyopo kwenye maziwa yaani Milk Lactose.


MATIBABU YA TATIZO HILI


Matibabu ya tatizo hili Huhusisha matumizi ya dawa mbali mbali pamoja na mgonjwa kupunguza au kuacha kutumia maziwa au vitu vyenye maziwa ndani yake ndani ya angalau mwezi au miezi kadhaa wakati akiwa kwenye tiba.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.