Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA ZA CHAI YA RANGI DHIDI YA KAHAWA

 CHAI

• • • • •

FAIDA ZA CHAI YA RANGI DHIDI YA KAHAWA


Chai ya Rangi ambayo kwa kitaalam hujulikana kama Black tea, ni chai ambayo inafaida nyingi sana kwenye mwili wa binadamu ikilinganishwa na unywaji wa Kahawa. 


Katika makala hii tunachambua baadhi ya faida za chai ya rangi ikilinganishwa na kahawa.


FAIDA ZA CHAI YA RANGI DHIDI YA KAHAWA NI PAMOJA NA;


1. Chai ya rangi huweza kusaidia sana kwa watu wenye kisukari type 1, unachotakiwa kuzingatia ni uwekaji wa sukari kwenye chai yako


2. Chai ya rangi huweza kusaidia kukukinga na tatizo la uzito mkubwa


3. Chai ya rangi huweza kusaidia kupunguza uwezekano wa watu kupata  magonjwa mbali mbali ya moyo


4. Lakini pia tafiti zinaonyesha kwa kiasi flani chai ya rangi husaidia kuondoa msongo wa mawazo kwa watu wenye shida hii,


Tafiti zinaonyesha kwamba watu wanaokunywa angalau vikombe 4 vya chai ya rangi kila siku wanazalisha kiwango kidogo cha hormone ya Stress maarufu kama Cortisol hormone baada ya wiki 6.


5. Chai ya rangi huweza kupunguza uwezekano wa mtu kupata matatizo ya kansa mbali mbali mwilini

n.k


WAKATI MATUMIZI YA KAHAWA YAMEONEKANA KUWA NA BAADHI YA MADHARA MWILINI KAMA VILE;


– Kupandisha kiwango cha presha au shinikizo la damu mwilini


– Kupunguza mtiririko wa damu kwenda kwenye moyo wako


– Kusababisha meno yako kuwa na rangi mbaya

n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.