Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA ZA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA UZAZI KWA VIJANA

 ELIMU

• • • • •

FAIDA ZA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA UZAZI KWA VIJANA

Kuna umuhimu mkubwa kwa vijana kupata elimu ya afya na uzazi hata wakiwa mashuleni. 

FAIDA ZA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA UZAZI KWA VIJANA NI PAMOJA NA;

– Kusaidia vijana kutambua mabadiliko makubwa ambayo hutokea katika miili yao kipindi cha ukuaji

– Kusaidia kupunguza au kuondoa kabsa tatizo la mimba katika umri mdogo

– Kusaidia kupunguza kwa kiwango kikubwa maambukizi ya magonjwa mbali mbali ya Zinaa ikiwa ni pamoja na UKIMWI

– Kusaidia kujenga jamii yenye afya bora pamoja na nguvu

N.K

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.