Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO(kwa wanaume)

 PUNYETO

• • • • • •

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO


Madhara ya kujichua/punyeto kwa mwanaume ni kushindwa kusimamisha uume muda mrefu. Hayo ndio madhara makubwa yanayowaletea wanaume wengi shida. ….


.

Kufanya Punyeto , wengi wanatumia Mkono kuchua uume, kuminya uume kutafuta raha msisimko haraka haraka.


Kuminya uume kwa viganja vyako vya mkono au kugandamiza sehemu inapelekea kuua Neva (nerve) misuli na mishipa ya damu matokeo yake uume unakuwa hauna nguvu kutokana na misuli kuchoka na kujenga usugu Uume unakuwa mwembamba na kuwa sugu!.


Madhara mengine ukikutana na mwanamke ukichomeka unamwaga mbegu za kiume hapo hapo na nguvu zinaisha mwili unahitaji upumzike kwanza.


 Mwili unazoea(condition action) pia na uume nao unazoea punyeto Ile raha mtu anayopata wakati wa kujichua ni ya kiwango cha juu sana kiasi kwamba hakuna kitu kingine ambacho kinaweza kuleta raha ya namna hiyo kwenye mazingira yake. Hii ndio inasababisha wengi kushindwa kuacha mchezo huo!


BONYEZA HAPA CHINI KUENDELEA


Soma zaidi hapa.!!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.