Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MWANAMKE KUPATA HEDHI MARA MBILI NDANI YA MWEZI MMOJA SIO KAWAIDA

 HEDHI

• • • • •

MWANAMKE KUPATA HEDHI MARA MBILI NDANI YA MWEZI MMOJA SIO KAWAIDA

Hali ya mwanamke kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja huweza kuwa kiashiria cha tatizo flani kwenye mwili wake, na tatizo hilo huweza kuwa;

– Tatizo la Mvurugiko wa vichocheo mwilini yaani kwa kitaalam tunaita Hormone Imbalance 

– Au Dalili za magonjwa mengine kama UVIMBE kwenye kizazi, uvimbe kwenye Vifuko vya mayai,Saratani N.k

• Japo pia mabadiliko kama vile;

– Kubadilisha mazingira ya kuishi,

– Mwanamke kusafiri,

– Mwanamke kuwa na Hasira

– Mwanamke kuwa na Msongo wa Mawazo n.k

vyote hivi huweza kuleta mabadiliko kwenye mzunguko wa HEDHI kwa MWANAMKE.

Ukiona tatizo hili kutana na wataalam wa afya kwa Ajili ya Ushauri,vipimo pamoja na Tiba

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.