Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

SWALI; JE KUNA MAHUDHURIO YA KLINIKI KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA?

 KLINIKI

• • • • •

SWALI; JE KUNA MAHUDHURIO YA KLINIKI KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA?


Wanawake wengi hawajui kwamba, mama baada ya kujifungua kuna kliniki yake kabsa,


Wengi wao wanajua kuna Kliniki ya mtoto tu basi,hivo hata hawazingatii


Kuna mahudhurio ya Kliniki kwa mama baada ya Kujifungua mbali na mahudhurio ya Kliniki kwa mtoto,


Mahudhurio ya Kliniki kwa mama baada ya kujifungua huwa hivi;


– Hudhurio la kwanza ni mama akishamaliza siku 7


– Hudhurio la pili ni siku 28


– Na hudhurio la tatu ni baada ya siku 42.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU NA TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.