Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TATIZO LA BAWASIRI KWA MAMA MJAMZITO

 BAWASIRI

• • • • • •

TATIZO LA BAWASIRI KWA MAMA MJAMZITO

Asilimia kubwa ya wanawake wakiwa wajawazito hupatwa na tatizo la kupata Choo kigumu kwa kitaalam constipation na vile vile asilimia kubwa ya wanawake wakiwa wajawazito hupata tatizo hili  la bawasiri ambapo huambatana na madhara mbali mbali kama vile;

– Mwanamke kuchubuka wakati wa kujisaidia

– Mwanamke kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

– Mwanamke kupata shida ya kutokeza nyama na kutangulia sehemu ya haja kubwa

USHAURI KWA MJAMZITO;

• Pendelea kunywa maji mengi sana

• Pendelea matumizi ya juic kwa kiasi kikubwa kuliko soda

• Epuka kukaa kwa muda mrefu sehemu moja

• Pendelea kutumia mboga za majani

• Matumizi ya matunda kama mapapai,maembe na maparachichi

• 

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.