Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA MAUMIVU YA MBAVU UPANDE WA KUSHOTO

 MBAVU

• • • • • •

CHANZO CHA MAUMIVU YA MBAVU UPANDE WA KUSHOTO

Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kusababisha maumivu makali ya mbavu upande wa kushoto na sababu hizo ni kama vile;

1. Mtu kudondoka,ajali na kupata majeraha upande wa kushoto wa mbavu

2. Mbavu kuvujika

3. Uvimbe unaotokea katika joints za mbavu

4. Kupata shida yoyote inayohusu bandama, kama uvimbe n.k

5. Tatizo la kuvutwa sana kwa vimisuli vidogo ambavyo hupatikana katikakati ya mbavu

6. Hali ya kupata maumivu ya mbavu ambayo sababu haijulikani, hali hii kwa kitaalam huitwa Rib pain syndromes

7. Magonjwa ambayo huhusisha mfumo wa kinga ya mwili yaani Autoimmune diseases kama vile; Rheumatism n.k

DALILI ZA SHIDA KWENYE MBAVU

– kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kupumua

– Kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kulala

– Kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kuongea

– Mtu kushindwa kulala

n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

One Comment

  1. Hallow Dr.ninaumwa mbavu upande wa kushoto, katika sababu zilizo hainishwa hapo juu sijaona inayo fanana, nomba kuuliza unapatikana hospitali gani,mimi nipo Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.