Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA TATIZO LA KULA UDONGO NA MADHARA YAKE

 UDONGO

• • • • • 

CHANZO CHA TATIZO LA KULA UDONGO NA MADHARA YAKE


Tatizo la kula udongo ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Geophagy ni tatizo ambalo hutokana na upungufu wa madini ya chuma mwilini.


Tatizo hili huweza kutokea kwa mtu yeyote japo kwa asilimia kubwa limeonekana kwa wakina mama wajawazito.


KWANINI WAKINA MAMA WAJAWAZITO HUPENDA KULA UDONGO?


– Mbali na shida ya upungufu wa madini ya chuma mwilini,wakina mama wengi hupenda kula udongo wakiwa wajawazito kwani huaminu kwamba udongo huwasaidia katika;


• Kuondoa au kupunguza hali ya kichefuchefu


• Kuleta hamu ya kula


• Kupunguza uchovu

n.k


MADHARA YA KULA UDONGO


madhara ya kula udongo kwa asilimia kubwa hutegemea na chanzo au sehemu ambapo udongo huo umetoka


– Udongo huweza kubeba uchafu wa kila aina kama vile kinyesi,mikojo n.k hali ambayo huweza kumsababishia mlaji magonjwa mbali mbali kama vile; Homa ya matumbo au Typhoid n.k


– Mtu huweza kuanza kupata tatizo la tumbo kuuma sana


– Mtu kupata tatizo la kuanza kuharisha baada ya kula udongo


– Lakini pia udongo huweza kubeba viambata vyenye sumu kali ambavyo ni hatari mwilini


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.