Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA TATIZO LA UPELE KWENYE NDEVU BAADA YA KUNYOA NDEVU(wanaume)

NDEVU

• • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA UPELE KWENYE NDEVU BAADA YA KUNYOA NDEVU

Tatizo la upele kwenye ndevu baada ya kunyoa huwatokea wanaume wengi, na kuna wengine hata wakinyoa nywele za kichwani huota sana mapele hasa kisogoni kwa nyuma chini kidogo karibu na shingo.

CHANZO CHA TATIZO LA UPELE KWENYE NDEVU BAADA YA KUNYOA NDEVU

– Endapo tatizo la kupata upele limetokea kisogoni,husababishwa na Bacteria anayejulikana kwa jina la P.Acnes,

ambapo baada ya mtu kunyoa nywele vitundu ambavyo nywele zilikuwepo huziba na kuzuia nywele nyingine kutokea pale, badala yake hutuna na kuwa upele.

– Vivyo hivo na kwenye mashavu na kidevuni, baada ya mtu kunyoa ndevu, vitundu ambapo ndevu zilikuwepo huziba na kusababisha ndevu mpya kuanza kuotea kwa ndani hali ambayo hupelekea mapele kutokeza kwenye ndevu,

Tatizo hili kwa kitaalam hujulikana kama Pseudofolliculitis Barbae

MATIBABU YA TATIZO HILI

– zipo njia mbali mbali za kutibu tatizo hili kama vile; kuminya upele na kukanda kwa maji ya moto, matumizi ya dawa za kunywa kama Doxcycline pamoja na Cream mbali mbali za kupaka kama vile; Tretoin, Persol n.k

Kwa ushauri zaidi,elimu au Tiba Tuwasiliane kwa namba +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.