Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO PAMOJA NA DALILI ZA TATIZO LA OSTEOARTHRITIS

 osteoarthritis

• • • • •

CHANZO PAMOJA NA DALILI ZA TATIZO LA OSTEOARTHRITIS


Hili ni tatizo ambalo huathiri gegedu au Cartillage pamoja na kuleta uharibifu kwenye joints za mifupa kwenye maeneo mbali mbali ya mwilini kama vile; kwenye magoti,mikononi n.k


CHANZO CHA TATIZO HILI


Tatizo hili hutokea baada ya uharibifu wa gegedu au Cartillage ambalo huleta hali ulaini,utelezi na kuzunguka ndani ya joints, na miongoni mwa sababu hatarishi ni pamoja na;


• Mtu kuwa na umri mkubwa(wazee)


• Tatizo la unene na uzito kupita kiasi au Obesity


• Kupatwa na magonjwa mbali mbali ya mifupa


• Kuwa na udhaifu wowote wa mifupa


• Hali ya kurithi vinasaba katika koo au familia

n.k


DALILI ZA TATIZO HILI NI PAMOJA NA;


– uvimbe kwenye joints


– Kupata maumivu makali kwenye joints


– Hali ya ugumu sana kwenye joints(stiffness) na kushindwa kuzunguka kama inavyotakiwa


– joto la mwili kuwa juu au mtu kuwa na homa


– Kushindwa kutembea

n.k


MATIBABU YA TATIZO HILI


✓ Matibabu ya tatizo hili huhusisha njia mbali mbali kama ile; 


– matumizi ya dawa za maumivu kama Ibuprofen,Acetaminophen


– Kufanyiwa mazoezi maalum


– Huduma ya upasuaji

N.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.