Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA UYOGA MWEKUNDU MWILINI (GANODERMA)

 UYOGA

• • • • •

FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA UYOGA MWEKUNDU MWILINI (GANODERMA)


Uyoga huu mwekundu umekuwa ukitumika sana kama dawa maeneo mbali mbali duniani kama vile CHINA n.k


Je matumizi ya aina hii ya Uyoga mwekundu yana Faida gani mwilini?


FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA UYOGA MWEKUNDU MWILINI


– Uyoga huu mwekundu husaidia kuimarisha kinga yako ya mwili


– Uyoga huu mwekundu husaidia kuondoa hali ya uchovu mwilini


– Uyoga huu mwekundu husaidia kwa watu wenye matatizo ya Shinikizo la Damu au Presha


– Uyoga huu mwekundu husaidia sana katika kupunguza kiwango cha LEHEMU(cholestrol) mwilini


– Uyoga huu mwekundu husaidia kwa watu wenye shida ya Allergy mbali mbali


– Uyoga huu mwekundu husaidia sana katika kuzuia kansa au aina mbali mbali za Saratani mwilini


– Matumizi ya Uyoga huu mwekundu mara kwa mara husaidia kuondoa sumu mbali mbali mwilini


– Uyoga huu mwekundu husaidia kuimarisha afya ya Seli hai za mwili


– Uyoga huu mwekundu huweza kusaidia sana kwa watu wanaopatwa na mashambulizi ya UTI za mara kwa mara


– Uyoga huu mwekundu ni chanzo kizuri sana cha virutubisho vingi mwilini kama vile PROTEINS n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.