Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MADHARA YA KUWEKA LIMAO UKENI

MADHARA YA KUWEKA LIMAO UKENI

Wanawake wengi siku hizi huweka limao ukeni kwa lengo la kutibu magonjwa kama Fangasi ukeni, kujisafisha n.k 

Lakini matumizi ya vitu hivi sio salama kwa afya yako. Je unafahamu madhara yaliyopo baada ya kuweka limao ukeni?

MADHARA YA KUWEKA LIMAO UKENI

Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya kuweka limao ukeni;

– Kubadilisha hali ya kawaida ya sehemu za siri kutokana na kuongeza kiwango kikubwa cha Tindikali

– Kuleta athari kwenye eneo la shingo ya uzazi

– Mwanamke kuwa katika hatari ya kuchubuka sehemu zake za siri hasa wakati wa tendo la ndoa na kuwa katika hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo Ugonjwa wa Ukimwi

– Kushusha ulinzi na kinga sehemu za siri na kumuweka mwanamke katika hatari ya kupata magonjwa mbali mbali kama vile; Fangasi n.k

– Mwanamke kuwa katika hatari ya kupata Kansa ya shingo ya kizazi yaani Cervical cancer

– Kuwa katika hatari ya kusambaza magonjwa mbali mbali katika sehemu hii kutokana na matumizi ya Limao katika kujisafisha kwa kiasi kikubwa

– N.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

2 Comments

  1. Ni elimu nzuri kwa kweli. Msaada unawafikia wengi. Vipi, hakuna group la whatsapp? Kama lipo, namba 0759140171

    1. asante sana, na karbu kila siku, hapana whatsapp ni kwa wale wanaohitaji msaada wa moja kwa moja, kwa elimu zaidi ni website hii ya afyaclass,Pamoja na Instagram @afyaclass.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.