Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TATIZO LA KIGUGUMIZI AU STUTTERING(chanzo,dalili na tiba)

 KIGUGUMIZI

• • • • • •

TATIZO LA KIGUGUMIZI AU STUTTERING(chanzo,dalili na tiba)


Kigugumuzi ni tatizo ambalo linalotokea wakati mtu anaongea na tatizo hili kwa kitaalam hujulikana kama Stuttering,


DALILI ZA TATIZO LA KIGUGUMIZI


Tatizo hili huweza kuhusisha dalili mbali mbali kama vile;


– Mtu kuanza kuongea neno moja moja na kuchelewa kumaliza na kuanza lingine yaani start- stutering


– Mtu kuongea kwa kuvuta sana maneneo


– Mtu kurudia rudia maneno


– Mtu kuruka baadhi ya maneno wakati wa kuongea


– Mtu kupata hofu sana wakati anataka kuongea


– Mdomo kutingishika sana wakati wa kuongea


– Mtu kupepesa macho sana wakati wa kuongea


– Mtu kuongeza maneno ambayo hayaendani na kile anachoongea, Mfano. mmmmm..!! n.k


CHANZO CHA TATIZO LA KIGUGUMIZI


Zipo sababu ambazo huhusisha na tatizo hili kama vile;


– Swala la mtu kuruthi vinasaba vya tatizo hili katika familia au ukoo flani (genetic factor)


– Pamoja na matatizo yanayotokea katika mfumo wa fahamu yaani speech Motor sensory coordination control problems


MATIBABU YA TATIZO LA KIGUGUMIZI


• Hakuna tiba ya kuondoa kabsa tatizo hili bali kuna tiba ya kumsaidia mhusika mwenye tatizo hili la kigugumizi kuboresha uwezo wake wa kuongea pamoja na kutamka maneno.

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.