Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

TIPS ZA AFYA KWA WATU WENYE UZITO MKUBWA AU WANENE KUPITA KIASI

 UZITO

• • • • • 

TIPS ZA AFYA KWA WATU WENYE UZITO MKUBWA AU WANENE KUPITA KIASI


Nukuu ya Leo; uzito kupita kiasi au unene ni chanzo cha matatizo mengi mwilini Kama vile; 


✓ presha au shinikizo la Damu


✓ Ugonjwa wa kisukari


✓ Magonjwa mbali mbali ya moyo


✓ Tatizo la uvimbe kwenye Kizazi


✓ Matatizo ya Kansa au Saratani N.K


TIPS ZA AFYA KWA WATU WENYE UZITO MKUBWA AU WANENE KUPITA KIASI


Zingatia mambo haya kwa ajili ya afya yako;


– Epuka kula vyakula ambavyo vina kiwango kikubwa sana cha mafuta mabaya


– Fanya mazoezi kila siku,angalau kwa Dakika 30 au nusu saa


– Epuka kula vyakula vya aina moja tu kila siku, bali kula chakula ambacho kina virutubisho vyote katika kiwango sahihi mwilini yaani Balance diet


– Epuka matumizi ya pombe kupita kiasi


– Fanya checkup za mara kwa mara 


– Pata muda wa kutosha wa kulala


– dhibiti kiwango cha mawazo na kuepuka msongo wa mawazo


• Kujua zaidi kuhusu tatizo la Uzito mkubwa na JINSI ya Kupunguza UZITO soma hapa.!!


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.