Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAZOEZI YA KUFANYA ILI KUKAZA MISULI YA UKE

MAZOEZI

• • • • •

MAZOEZI YA KUFANYA ILI KUKAZA MISULI YA UKE

Kwanza unatakiwa kufahamu kuhusu misuli inayohusika katika kukusaidia kwenye safari yako ya kukaza uke. Fanya zoezi hili wakati unakojoa bana mkojo katikati.Ukifanikiwa zoezi hili basi tayari umetambua misuli yako ya kuitumia katika zoezi linalofuata, malizia kutoa mkojo iliobaki baada ya hapo fuata maelekezo haya

Tafuta mahali pazuri pa kufanyia zoezi ukiwa nyumbani kwako, sehemu ambayo unaweza kulala chali ili tuanze zoezi

Kumbuka misuli uliyokaza pale ulipokuwa unakojoa, basi tumia misuli hiyo hiyo.

Soma: Tatizo la Uke Kujamba,chanzo na Tiba

Kaza misuli yako kwa sekunde 5, kisha relax kwa sekunde 5 zingine

Rudia zoezi hili mpaka awamu 5 kwa wakati mmoja unakaza unaachia

Kadiri unavoendelea na kulizoea zoezi hil basi ongeza muda wa kufanyaKwanza unatakiwa kufahamu kuhusu misuli inayohusika katika kukusaidia kwenye safari yako ya kukaza uke. Fanya zoezi hili wakati unakojoa bana mkojo katikati.Ukifanikiwa zoezi hili basi tayari umetambua misuli yako ya kuitumia katika zoezi linalofuata, malizia kutoa mkojo iliobaki baada ya hapo fuata maelekezo haya

Tafuta mahali pazuri pa kufanyia zoezi ukiwa nyumbani kwako, sehemu ambayo unaweza kulala chali ili tuanze zoezi

Kumbuka misuli uliyokaza pale ulipokuwa unakojoa, basi tumia misuli hiyo hiyo.

Kaza misuli yako kwa sekunde 5, kisha relax kwa sekunde 5 zingine

Rudia zoezi hili mpaka awamu 5 kwa wakati mmoja unakaza unaachia

Kadiri unavoendelea na kulizoea zoezi hil basi ongeza muda wa kufanya zoezi hadi sekunde 10 kutoka sekunde 5 za awali. Hakikisha usitumie misuli ya tako, tumia misuli ya ndani ya uke na nyonga (pelvic floor muscles). Kwa matokeo mazuri zaidi fanya seti 3 za mazoezi ya kegel mara 5 mpaka 10 kwa siku.

 zoezi hadi sekunde 10 kutoka sekunde 5 za awali. Hakikisha usitumie misuli ya tako, tumia misuli ya ndani ya uke na nyonga (pelvic floor muscles). Kwa matokeo mazuri zaidi fanya seti 3 za mazoezi ya kegel mara 5 mpaka 10 kwa siku.

Kukaza uke kwa kutumia zoezi hili fuata maelekezo haya

 Lala chali kwenye floo  kisha mikono inyooshe chini

Vuta tumbo kuelekea ndani kwa kubinuka kuelekea juu, unapofanya hivi sehemu ya mgongo itakuwa flati

Endelea kukaza tumbo lako kwa sekunde 4 bila kuachia

Rudia hili zoezi mara 10 kwa kukaza na kuachia kila baada ya sekunde 4, ndani ya muda mmoja na urudie seti 5 ndani ya siku moja.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.