Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

BAADHI YA MAGONJWA YANAYOSUMBUA WAZEE ZAIDI

Japo kwa hivi sasa hata yale magonjwa ambayo zamani yalionekana kuwasumbua wazee zaidi hata Vijana pia hupata magonjwa hayo, ila katika makala hii tumeorodhesha baadhi ya magonjwa mbali mbali ambayo bado ni tatizo kwa watu ambao umri umesogea sana(wazee).

BAADHI YA MAGONJWA YANAYOSUMBUA WAZEE ZAIDI NI PAMOJA NA;

– Magonjwa yahayohusu mtu kupoteza kumbukumbu kama vile Dementia n.k

– Ugonjwa wa Presha,sana sana presha ya kupanda japo wapo pia baadhi husumbuliwa na presha ya kushuka

– Ugonjwa wa kisukari,tatizo la sukari kuzidi kuliko kawaida au kupungua kuliko kawaida kwenye damu

– Magonjwa mbali mbali ya mifupa

– Tatizo la kuumwa miguu sana hadi wengine kushindwa kutembea kabsa

– Ugonjwa wa Asthma,TB pamoja na magonjwa mengine yanayohusu mfumo wa hewa

– Tatizo la Figo kushindwa kufanya kazi(kidney failure) pamoja na magonjwa mengine ya kudumu kwenye figo yaani Chronic kidney diseases

– Tatizo la maumivu makali ya mgongo pamoja na kifua

– Ugonjwa wa Parkinsons pamoja na magonjwa mengine yanayohusisha nerves au neurone diseases

– Matatizo ya macho ikiwa ni pamoja na tatizo la macho kutokuona vizuri, upofu au tatizo la presha ya macho(Glaucoma)

– Magonjwa mbali mbali ya moyo kama vile, Coronary heart disease,tatizo la mishipa ya damu ndani ya moyo kuziba,moyo kushindwa kusuka damu,moyo kuwa mkubwa,moyo kujaa maji,kuwa na hitilafu kwenye mfumo wa umeme ndani ya moyo n.k

– Tatizo la kifafa, pamoja na magonjwa mbali mbali ya akili

– Tatizo la aina mbali mbali za Saratani au kansa

– Kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo

– Tatizo la multiple Sclerosis,arthritis n.k

– Ugonjwa wa kiharusi au Stroke pamoja na magonjwa mengine ambayo sjayataja hapa.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.