Magonjwa
HEDHI KUBADILIKA BADILIKA NA MIMBA
HEDHI KUBADILIKA BADILIKA NA MIMBA
Kama hedhi yako ni ya kubadilika badilika yaani huna tarehe maalumu kwenye mzunguko wako wa hedhi,
usitumie kalenda kama njia ya uzazi wa mpango utabeba mimba
Kwa wanawake wenye IRREGULAR MENSTRUAL CYCLE,Kalenda sio njia ya kuaminika kwao,
Hivo chagua njia nyingine salama na ya uhakika kwako
KWA USHAURI ZAIDI KUHUSU AINA YA NJIA SALAMA KWAKO TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.