Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KALENDA HAIKUFAI KAMA MZUNGUKO WA HEDHI UNABADILIKA BADILIKA

KALENDA HAIKUFAI KAMA MZUNGUKO WA HEDHI UNABADILIKA BADILIKA

njia hii ya kalenda kama Njia ya uzazi wa mpango ni nzuri na salama kabsa kwa wanawake ambao,

mzunguko wa hedhi upo stable au Regular menstrual cycle,yaani haubadiliki badiliki, kama ni  siku 28 ni hizo hizo sku zote,

Ila kama mzunguko wako wa hedhi unabadilika badilika yaani Upo kwenye kundi la wanawake wenye Irregular menstrual cycle,

Kalenda sio salama kwako,upo kwenye hatari kubwa ya kubeba mimba pasipo matarajio yako au pasipo kupanga,

Hivyo chagua njia nyingine ya uzazi wa mpango ila sio kalenda.

Zipo njia nyingine kama vile lupu au kitanzi ambacho huweza kutumika kama njia ya kupanga uzazi,

Ni vizuri kuongea na wataalam wa afya ili wakushauri njia salama kwako,

kulingana na mwili wako pamoja na aina ya uzazi unaotakiwa kupanga kwa muda ulionao.

Epuka kupewa elimu za mtaani kutana na wataalam wa afya kwanza

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.