Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAMBO 11 MUHIMU YA kuzingatia UNAPOKUWA NA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

MAMBO 11 MUHIMU YA kuzingatia UNAPOKUWA NA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

1.Ongeza kiasi/kiwango cha unywaji wa maji kila siku

2.Kula nyama isiyo na mafuta mengi au epuka kula vyakula vya mafuta mengi

3.Ongeza kula vyakula visivyokobolewa

4.Kula zaidi matunda, mboga za majani, karanga na maharage

5.Punguza vyakula vya viwandani vinavyoongezwa sukari nyingi

6.Punguza vyakula vyenye lehemu au kolesteroli nyingi

7.Acha kuvuta sigara na tumbaku za aina zote

8.Acha kunywa pombe

9.Dhibiti uzito wako, hakikisha una uzito unaopaswa kuwa nao kwa mjibu wa urefu wako

10.Punguza au epuka kabsa mfadhaiko,msongo wa mawazo au stress

11.Fanya mazoezi ya viungo hasa mazoezi ya kukimbia kila siku,kuruka kamba n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.