Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MATATIZO KWA MAMA WAKATI WA KUNYONYESHA

MATATIZO KWA MAMA WAKATI WA KUNYONYESHA

Ukiwa unapata matatizo kama haya wakati wa kunyonyesha unaweza kuomba ushauri na msaada kutoka kwa wataalam wa afya,

– Maumivu makali ya chuchu wakati unanyonyesha

– Maumivu makali ya chuchu unapojaribu kukamua ziwa

– Kuwa na hasira sana kuliko kawaida,kujitenga,kuwa na huzuni sana n.k

– Matiti kujaa sana na kupata maumivu makali wakati wote

UKWELI KUHUSU UNYONYESHAJI,

Hivi ni baadhi ya vitu vya kufahamu kwenye unyonyeshaji

1. Siku 5 za mama toka ajifungue,maziwa hayatoki mengi sana, na pia tumbo la mtoto bado ni dogo sana

2. Maziwa huanza kutoka kama maji maji unapojifungua,baadae hubadilika na kuwa mazito

3. Kadri mtoto anavyonyonya ndivo maziwa mengi huendelea kuzalishwa zaidi,

4. Maziwa ya mama yana virutubisho vyote muhimu kwa mtoto

5. Maziwa ya mama pekee ndyo kinga bora dhidi ya magonjwa kwa mtoto mdogo

6. Unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee ni kwa kipindi cha miezi 6 ya mwanzoni

7. Baada ya miezi 6 anza kumchanganyia mtoto maziwa ya mama pamoja na vitu vingine

8.Unyonyeshaji uendelee mpaka mtoto akiwa na umri wa miaka 2 au 3 kama ukiweza

9. Epuka kuanza kumlisha mtoto vyakula vingine kabla ya kumaliza miezi 6 ya mwanzoni ya unyonyeshaji

10. Fanya usafi wa chuchu na matiti kwa ujumla,kabla ya kuanza kunyonyesha.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.