Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

PILIPILI HOHO NYEKUNDU NI BORA ZAIDI KULIKO ZA KIJANI

PILIPILI HOHO NYEKUNDU NI BORA ZAIDI KULIKO ZA KIJANI,

Ni dhahiri kwamba asilimia kubwa sana ya watu hutumia pilipili hoho za rangi ya Kijani kuliko za rangi nyekundu,

Na wengine hawataki kabsa kuzisikia au kuziona pilipili hoho za rangi nyekundu,

FAHAMU; Pilipili hoho Nyekundu zina wingi wa virutubisho zaidi kama vile madini,vitamins n.k kuliko pilipili hoho za rangi ya Kijani,

Pia pilipili hoho nyekundu zina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini kuliko hizi za rangi ya Kijani.

Tumia pia pilipili hoho za Rangi nyekundu zimesheheni virutubisho zaidi,

Hivo usitumie tu pilipili hoho za rangi ya kijani na kuzikimbia za rangi nyekundu

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.