Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

UZITO MKUBWA KUHUSISHWA NA UWEZO MDOGO WA UBONGO

UZITO MKUBWA KUHUSISHWA NA UWEZO MDOGO WA UBONGO

Baadhi ya tafiti mbali mbali zimeonyesha athari mbali mbali za mtu kuwa na uzito mkubwa au Obesity/ overweight na kuambatanisha na madhara mengi kiafya.

Nanukuu”A new study from Canada has found that excess body weight may also affect cognitive function, with inflammation possibly playing a role”

Watu wenye excess fatty tissue wanapata matokeo madogo sana yaani lower scores kwenye kipimo kilichofanyika kinachojulikana kama cognitive tests.

Lakini mazoezi ya mwili yaani Physical exercise, huweza kuongeza mtiririko wa damu kuelekea kwenye ubongo na kusaidia kuzuia madhara zaidi hata kama una uzito mkubwa(this may help limit cognitive impairment even in those with a high body mass index (BMI).

Nikweli kwamba shida ya uzito mkubwa au unene kupita kawaida huhusishwa na matatizo mengi ya kiafya ila sasa kuna hii mpya ya kuwa na kiwango kikubwa cha fatty tissue mwilini pamoja na kupunguza uwezo wa ubongo wako kufanya kazi yaani cognitive impairment.

Utafiti mwingine ulifanyika na kuripotiwa na “JAMA Network OpenTrusted Source Canadian researchers” ambao ulihusisha watu wenye uzito mkubwa/wanene zaidi ya 9,000. Wakapima vitu viwili total body fat na visceral adipose tissue (VAT) — mafuta ambayo kwa kiasi kikubwa huzunguka organs kwenye eneo la tumbo yaani abdominal cavity.

Tafiti hizi zote zikagundua Shida ya UZITO MKUBWA huweza kuhusishwa na matatizo mengi ya kiafya kama vile;

– Kuongeza idadi ya vifo yaani increased morbidity and a higher mortality risk

– Kuongeza idadi ya watu wengi wenye magonjwa ya moyo(heart disease) ikiwemo shida ya shambulio la moyo-heart attacks

– Kuongeza idadi ya watu wengi wenye kisukari yaani type 2 diabetes

– Kuongeza idadi ya watu wengi wenye shida ya Presha(raised blood pressure)

– Kuongeza idadi ya watu wengi wenye shida ya kiharusi,STROKE n.k

– Kuongeza idadi ya watu wengi wenye shida ya kansa kama vile kansa ya matiti(breast cancer na colorectal cancer)

– Kuongeza idadi ya watu wengi wenye ugonjwa wa Alzheimer’s disease

– Na utafiti huu wa mwisho umeripoti shida ya uzito mkubwa/obesity/overweight na kuleta athari kwenye ubongo na akili ya mtu.

HIVO; Kumbe mbali na matatizo mengi ya kiafya ambayo hutokana na uzito mkubwa au unene kupita kiasi, hata uwezo wako wa kufikiri au Cognitive ability huweza kuathiriwa pia kama una shida hii ya Obesity au Overweight.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.