Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

ILI KUPATA MAJIBU SAHIHI YA HIV/AIDS FANYA HIVI

ILI KUPATA MAJIBU SAHIHI YA HIV/AIDS FANYA HIVI

Ili Kupata Majibu Sahihi ya vipimo vya HIV Au UKIMWI Lazima Uzingatie Baadhi ya mambo.

Na baadhi ya vitu vya kuzingatia ni kama hivi hapa;
A
1. Hakikisha Upimaji sahihi,

Hivo ninakushauri usijipime mwenyewe,nenda hospital kutakana na wataalam wa afya ambalo wanaelewa vizuri njia sahihi za kufanya vipimo hivi,

Hii itakusaidia sana kupata majibu sahihi,lakini pia na ushauri wa kutosha kuhusu ugonjwa huu,

Pamoja na muda sahihi wa kurudia vipimo vyako endapo vipimo vya awali vimetoa majibu Negative.

2. Muda wa kusoma majibu yako,

Hutakiwi kuwahi sana kusoma majibu yako au kuchelewa sana,

na,wakati mwingine kila kipimo kinakuja na maelekezo yake,

kwamba majibu yako usome kwa muda gani baada ya kujipima kwenye kipimo husika

– Expire date ya vipimo vyako,

Pia hakikisha unaangalia na kujua Expire date ya Vipimo vyako,

Hii itakusaidia sana kuepuka Errors ambazo huweza kutokea wakati wa upimaji,

Kwani vipimo vingine vimekwisha muda wake wa matumiz,hivo unaweza usipate Majibu sahihi.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.