Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

KANSA YA NGOZI(SKIN CANCER) HUANZA NA KUBADILISHA NGOZI YAKO

KANSA YA NGOZI(SKIN CANCER) HUANZA NA KUBADILISHA NGOZI YAKO

Fahamu kwamba ngozi huweza kushambuliwa na aina nyingi za kansa,

tofauti na watu wengi wanavyojua kwamba kuna kansa moja ambayo hujulikana kama kansa ya ngozi.

Hivo kuna skin Cancers ikiwa na maana ya aina zaidi ya moja ya Kansa,

Kama vile Melanoma N.k

Kansa zote hizi za Ngozi huanza na kubadilisha ngozi yako ya mwili,

Na wataalam wa afya wanashauri mtu kufanya checkup mara kwa mara

Kwani endapo kansa hizi zikigundulika kwenye hatua za mwanzoni,hupona kabsa.

Note: Ni rahsi kupata tiba na kupona kabsa Kansa, endapo imegundulika mapema na kupata Tiba mapema.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.