Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

KWA NINI WATU WENGI WANAANGUKA BAFUNI NA KUPATA STROKE MARA NYINGI

KWA NINI WATU WENGI WANAANGUKA BAFUNI NA KUPATA STROKE MARA NYINGI

Kwa hivi sasa kumekuwa na matukio mengi ya watu kudondoka bafuni wakati wakioga,

Je chanzo cha tatizo hili ni nini?

Ukiwa unapresha na ukaingia bafuni kuoga, unapoanza kichwani kujimwagia maji ni hatari kwani mwili wote na viungo upata mawasiliano kwa kuongozwa na sehemu maalum kichwani iitwayo control centre,

hii ina idara nyingi kwa kazi husika kiasi kwamba mwili na viungo vyake uendeshwa kwa ustadi mkubwa kama Mungu mmoja wa pekee alivyoumba na kukadiria.

Maji yakimwagiwa kichwani yanastua sehemu muhimu zikiwemo za mfumo wa moyo na fahamu ghafla kiasi kwamba uwiano ukikosa kati ya moyo na fahamu inatokea mtu kuzirai na hatimaye stroke inatokea.

Ushauri anza kujimwagia kiunoni na kushuka chini kwenye miguu na kisha kifunoni hadi kifuani na kumalizia kichwani na hii inaweka uwiano sawa kati ya mwili na ubongo kupokea maji mwilini.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.