Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAAMBUKIZI YA MAGONJWA NDANI YA KINYWA

MAAMBUKIZI YA MAGONJWA NDANI YA KINYWA,

Wataalam wa meno wanasema,asilimia kubwa ya watu wenye matatizo ya meno,

chanzo kikubwa huwa ni uchafu unaoganda ndani ya kinywa,kwenye fizi,na kuzunguka meno,

Hali ambayo hupelekea meno kushambuliwa na vimelea mbali mbali vya magonjwa ikiwemo bacteria.

Kutokufanya usafi wa kinywa na meno sio tu kwamba huweza kusababisha shida kwenye meno, ila hata kinywa kizima huweza kuathirika,

Yapo pia magonjwa mbali mbali ambayo huweza kuleta athari ndani ya kinywa chako kama vile;

– Mashambulizi ya Fangasi ndani ya kinywa

– Maambukizi ya Virusi vya ukimwi au HIV/AIDS n.k

KUMBUKA: Fanya usafi vizuri ndani ya kinywa, pia jikinge na magonjwa yote ikiwemo ya zinaa.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.