Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

TAFITI:VITAMIN D3 KUBORESHA KINGA YA MWILI KULIKO VITAMIN D2

TAFITI:VITAMIN D3 KUBORESHA KINGA YA MWILI KULIKO VITAMIN D2

Watu wengi wanafamu tu kwamba kuna vitamin D,

Lakini wengi wao hawajui kwamba vitamin D yenyewe imegawanyika kama vile;

Tuna vitamin D2, Vitamin D3 n.k ambazo hizi mbili ndyo tunazozijadili hapa.

Jarida la MedicalNewsToday wametoa chapisho kwamba,

Kuna tafiti zimefanyika na kuonyesha kwamba Vitamin D3 huboresha Kinga yako ya Mwili zaidi kuliko Vitamin D2,

Mbali na faida hizo, Vitamin D kwa ujumla wake huweza kusaidia;

– Kuboresha afya ya mifupa ya mwili

– Utendaji kazi wa Seli hai yaani Cellullar function

– Pamoja na kuboresha kinga yako ya Mwili yaani Improve the body Immunity system.

#MedicalNewsToday

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.