USALAMA BARABARANI,AFYA NA MAISHA KWANZA
USALAMA BARABARANI,AFYA NA MAISHA KWANZA
Zingatia mambo haya ukiwa barabarani kwa ajili ya afya yako na usalama wako;
1. Usiongee na simu wakati unavuka barabara,wakati unaendesha gari au chombo chochote cha moto
2. Usiendeshe gari au chombo chochote cha moto ukiwa umelewa,
Usivuke baraba au kutembea barabarani ukiwa umelewa
3. Hakikisha unafunga mkanda ukiwa kwenye gari
4. Endesha chombo chochote cha moto kwa mwendo unaotakiwa barabarani
5. Kumbuka kuvaa helment kwa waendesha boda boda
6. Angalia pande zote kabla ya kuanza kuvuka barabara
7. Usiwaache watoto wadogo wavuke wenyewe barabara,wasaidie
8. Epuka kuweka Earphone na kusikiliza mziki wakati unatembea barabarani,
hakikisha unapata usikivu mzuri wa kila kitu kichoendelea barabarani
9. Hakikisha unaona vizuri uwapo barabarani
10. Tembea sehemu zilizoruhusiwa kwa watembea kwa miguu, endesha gari sehemu zilizoruhusiwa kwa waendesha magari.N.k
#Usalamabarabarani #afyaclass #maisha