Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KUKAA KWA MUDA MREFU(madhara yake)

KUKAA KWA MUDA MREFU(madhara yake)

Kama umewahi kusikia watu mbali mbali wakisema hutakiwi kukaa sana kwa muda mrefu,

japo bado imekuwa changamoto kutokana na aina ya kazi tunazofanya kila siku,

Unashauriwa kama kazi zako zinahusisha kutumia muda mwingi kwenye kukaa basi ujitahidi kuwa na muda wa kutosha wa kufanya mazoezi.

Fanya mazoezi angalau kwa dakika 30 au nusu saa kila siku,hii itakusaidia sana

KUKAA KWA MUDA MREFU(madhara yake)

Yapo madhara mengi ambayo mtu huweza kuyapata kwa kukaa kwa muda mrefu,na madhara hayo ni kama vile;

• Kuanza kupata maumivu makali ya mgongo,kiuno au nyonga

• Ubongo kusinzia na kuwa kama mtu mwenye ugonjwa wa Kusahau au Dementia

• Kuwa katika hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo yaani heart diseases

• Kuwa katika hatari ya kupatwa na ugonjwa wa Kisukari

• Kuwa katika hatari ya kupatwa na tatizo la Stroke au Kiharusi

• Kuwa katika hatari ya kupatwa na tatizo la shinikizo la damu au High blood Pressure(BP)

• Kuwa katika hatari ya kupatwa na tatizo la ongezeko la cholestrol mwilini n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.