Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

PATA MUDA WA KUTOSHA WA KULALA,UMUHIMU WAKE

PATA MUDA WA KUTOSHA WA KULALA,UMUHIMU WAKE

Tafiti zinaonyesha kwamba,kupata muda mzuri wa kulala usiku angalau masaa 8 kwa mtu mzima,

husaidia sana kuboresha afya ya akili,ikiwa ni pamoja na kurepair seli hai za mwili wako,

Ikiwa unapata muda wa kutosha wa kupumzika pamoja na kulala,

hata uwezo wako wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi unaongezeka.

Epuka matumizi ya dawa ili upate usingizi mara kwa mara, badala yake angalia vitu vinavyokufanya usilale na kuviepuka.

Mlinzi wa kwanza wa afya yako ni wewe mwenyewe.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.