Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KUFANYA MAPENZI BAADA YA KUJIFUNGUA

KUFANYA MAPENZI BAADA YA KUJIFUNGUA

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza hivi tunatakiwa kukaa mda gani ndipo tuanze kufanya mapenzi baada ya Kujifungua?. AU

Muda sahihi wa kufanya mapenzi baada ya mama Mjamzito kujifungua ni upi?

Muda sahihi wa kuanza kushiriki tendo la ndoa baada ya kujifungua ni kuanzia Kipindi cha siku 42 au wiki 6 na kuendelea,

SABABU:baada ya kipindi hiki kila kitu ikiwemo via vya uzazi kwa Mama baada ya kujifungua vitakuwa vimerudi katika hali ya kawaida kama mwanzoni.

Lakini pia ikifika siku hizo 42 au wiki 6-8 sio lazima mwanamke kuanza kulazimishwa kufanya mapenzi kama bado anaona hajawa sawa.

HIVO basi, kipindi sahihi cha kuanza kufanya mapenzi baada ya mama Kujifungua ni kuanzia Siku 42 au wiki 6-8 na pale atakapoona mwenyewe kakaa sawa.

ANGALIZO; Hata kama mwanamke kamaliza siku 42, na bado hajawa sawa au hajajisikia kuanza kufanya Mapenzi,

asilazimishwe,kwani yeye mwenyewe ndyo anajua mwili wake na anavyojisikia

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.