UNACHOTAKIWA KUJUA KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA NYANI(MONKEY POX)
UNACHOTAKIWA KUJUA KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA NYANI(MONKEY POX)
– Ugonjwa huu unajulikana kama MonkeyPox kwa sababu kwa mara ya kwanza umepatikana kwa nyani(Monkey)
– Watu wengi hupona wenyewe bila tiba zaidi ila Wachache huweza kuumwa serious zaidi
– Ugonjwa huu huambatana na dalili mbali mbali kama vile;
• Kupata Upele kwenye maeneo mbali mbali ya mwili kama vile; Usoni, kwenye mikono,miguuni,mdomoni, sehemu za siri n.k
• Mgonjwa kupata homa
• Kuvimba kwa Lymph nodes
• Maumivu makali ya kichwa
• Maumivu ya misuli,viungo,joints pamoja na maumivu ya mgongo
• Mwili kuchoka kuliko kawaida
SOMA ZAIDI HAPA: Ugonjwa wa Homa ya Nyani(MonkeyPox)