Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

VIJANA WA KIUME WA SIKU HIZI NA MATUMIZI YA VIAGRA KURIDHISHA WENZA WAO

VIJANA WA KIUME WA SIKU HIZI NA MATUMIZI YA VIAGRA KURIDHISHA WENZA WAO

leo nimeamua kukusogezea story hii,baada ya kuona wimbi kubwa la Vijana wa kiume siku hizi kukimbilia matumizi ya Dawa aina ya Viagra,

Vijana wengi wamejiingiza kwenye matumizi ya Dawa za Viagra ili kuwaridhisha wenza wao au wapenzi wao wakati wa tendo la ndoa,

Huku wengi wao wakidai kwamba wanaupungufu wa nguvu za kiume ndyo maana hukimbilia viagra.

Vijana wa kiume hutumia aina mbali mbali za dawa kama Viagra, Vumbi la Congo na dawa zingine kama hizo,

Kwa lengo la kufanya tendo la ndoa kwa ufasaha, Je unafahamu madhara ya kutumia vitu hivi?

– Na mbaya zaidi, kuna Case nyingi za Wanaume kupoteza maisha kutokana na matumizi ya dawa kama hizi Viagra wakati wa tendo la ndoa.

SOMA ZAIDI HAPA:

1. Matumizi ya Viagra: Bofya hapa

2. Matumizi ya Vumbi la Congo: Bofya hapa

NB:Ushauri wangu kwako;

– Epuka matumizi ya dawa kama hizi Hovio bila maelekezo ya kina kutoka kwa wataalam wa afya

– Akili za mtaani changanya nazako, fanya utafiti wa kina kabla ya kuanza kufanya maamumizi yoyote ya kutumia dawa.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.