Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Chanjo ya Ugonjwa wa Homa ya Ini inatolewaje?

Chanjo ya Ugonjwa wa Homa ya Ini inatolewaje?

UGONJWA WA HOMA YA INI

• • • • • •

CHANJO YA UGONJWA WA HOMA YA INI

Chanjo hii huanza kutolewa baada ya mtu kupimwa na majibu kuonyesha kwamba hana ugonjwa huu yaani NEGATIVE.

Na chanjo hii ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya Ini huchomwa kwa Dose 3 Kama Ifuatavyo;

1). Chanjo ya kwanza; ni mda wowote baada ya mtu kupimwa na kuonekana hana ugonjwa wa homa ya Ini

2). Chanjo ya pili; Huchomwa baada ya wiki Nne(4)

3). Chanjo ya tatu; Huchomwa baada ya miezi sita(6)

KUMBUKA; tafiti zinaonyesha kwamba kirusi cha homa ya Ini kina uwezo wa kusambaa mara 50 zaidi kuliko kirusi cha UKIMWI. Hivo kirusi hiki ni hatari zaidi.

Na miongoni mwa kundi ambalo hushambuliwa na kuathiriwa na ugonjwa huu zaidi ni wanawake.

Pima ugonjwa huu na pata Chanjo yake,

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.