Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Punguza hatari ya kupata Kansa au Saratani kwa kufanya haya

Punguza hatari ya kupata Kansa au Saratani kwa kufanya haya

Zingatia baadhi ya vitu hivi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuepuka kupata Saratani mbali mbali,

Baadhi ya mambo hayo ya kuzingatia ni pamoja na;

– Epuka uvutaji wa Sigara au tumbaku kwa namna yoyote ile

– Kula mlo kamili yaani healthy balance diet, na kuepuka vyakula vya mafuta sana,chumvi nyingi,n.k

– Kwa mama mwenye mtoto anayenyonya, hakikisha unanyonyesha vizuri kwani hii hukupunguzia hatari ya kupata Saratani hasa Saratani ya matiti

– Hakikisha unapata chanjo ya kuzuia Hepatitis B Pamoja na Human Papilloma Virus(HPV)

– Epuka kukaa kwenye jua na kuchomwa na jua kwa muda mrefu sana, jikinge

– Punguza sana uchafu wa mazingira ikiwemo Indoor pollution

– Fanya mazoezi mbali mbali ya mwili ili kuuweka mwili wako vizuri

– Acha kabsa au Punguza sana matumizi ya Pombe

– Jenga tabia ya kufanya checkup mara kwa mara

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.