Unapokuwa na upungufu wa vitamini A, unaweza kuwa na ngozi kavu, yenye magamba, pamoja na midomo yako
Unapokuwa na upungufu wa vitamini A, unaweza kuwa na ngozi kavu, yenye magamba, pamoja na midomo yako. Ili kupata Vitamin A zaidi, hiki ndicho cha kula:
Mojawapo ya kazi nyingi za vitamini A ni kukuza na kudumisha tishu zinazofunika mwili wako, ndani na nje. Unapokuwa na upungufu wa vitamini A, unaweza kuwa na ngozi kavu, yenye magamba, pamoja na midomo yako.
Kama una tatizo kama hili,ili kupata kirutubisho hiki zaidi, kula:
– Mboga za Majani kama mchicha,
– Kula viazi vitamu na karoti
– Kula Matunda kama; machungwa, tikitimaji na parachichi