Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Dalili za Matatizo Ya Figo pamoja na Watu ambao wapo kwenye hatari Zaidi

Dalili za Matatizo Ya Figo pamoja na Watu ambao wapo kwenye hatari Zaidi

➡️ MAGONJWA YA FIGO.

Endapo figo zako zikiwa hazifanyi kazi vizuri basi mwili utapata matatizo kadha Wa kadha ambayo yanasumbua sana na yanaweza kukupelekea ukapoteza maisha kama hutatibiwa au kupewa figo

Mambo yafuatayo yanaweza kuashiria kuwepo kwa matatizo ya figo

1) MAUMIVU YA KICHWA YA MARA KWA MARA

2)KUKOSA USINGIZI USIKU KUSIKOELEWEKA

3)MWILI KULEGEA LEGEA MARA KWA MARA NA KUA NA UCHOVU MARA KWA MARA HATA KAMA UNAPUMZIKA VIZURI

4) KUA NA NGOZI KAVU NA INAYOWASHA.

5) KUTOA HARUFU MBAYA MDOMONI NA KUA NA LADHA YA CHUMA MDOMONI.

6)HAMU YA KULA KUPUNGUA NA KUPUNGUA UZITO

7) KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA MARA KWA MARA

8) KIFUA KUBANA NA KUISHIWA PUMZI NA UNAKUA KAMA MGONJWA WA PUMU(ASTHMA)

9) KUVIMBA MIGUU,ENKA,TUMBO,USO,MIKONO NK

10) MAUMIVU YA MGONGO YA MARA KWA MARA

11) KUVIMBA MACHO

12)MKOJO KUPUNGUA SIKU HADI SIKU AU KUKOSA MKOJO KABISA

13) MABADILIKO YA AKILI,HASIRA ZA MARA KWA MARA,KUSAHAU SAHAU N.K

WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI ZAIDI YA KUPATA MATATIZO YA FIGO NI PAMOJA NA;

– Wagonjwa Wa KISUKARI

– Wenye Matatizo ya PRESHA,

– Wenye VVU au Ugonjwa wa UKIMWI,

– wenye tatizo la HOMA YA INI,

– Wenye SARATANI za aina mbali mbali,

– Wenye umri wa MIAKA 40 NA KUENDELEA,

– Wanywa Pombe kupindukia/MLEVI,

– Wenye Uzito mkubwa kupita kiasi au Wanene

– Wanaotumia dawa za KUONDOA MAUMIVU KWA MUDA MREFU  n.k

UKIONA DALILI KAMA HIZO HAPO JUU USIPUUZIE NA USIVUMILIE BALI CHUKUA HATUA,NENDA HOSPTAL MAPEMA KUFANYA VIPIMO

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.