Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Hizi hapa ni dalili Kwa Mtu mwenye UTI(Soma hapa)

Hizi hapa ni dalili Kwa Mtu mwenye UTI(Soma hapa)

DALILI ZA UGONJWA WA UTI

Zipo dalili mbali mbali ambazo huweza kujitokeza Kwa Mtu mwenye UTI,

na hapa tumeelezea baadhi ya Dalili hizo,Soma hapa chini kwenye Makala hii..!!

HIZI HAPA CHINI NI BAADHI YA DALILI ZA UTI

– Kupata maumivu wakati wa kukojoa

– Kukujoa mara kwa mara

– Mkojo kubaki baada ya kukojoa

– Kuhisi hali ya kuungua wakati wa kukojoa

– Maumivu ya tumbo hasa upande wa kushoto chini ya kitovu

– Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa

– Maumivu makali ya kichwa mara kwa mara

– Maumivu ya viungo,joints pamoja na misuli ya mwili

– Mwili kuchoka sana kupita kiasi n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.