Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Haya ni Baadhi ya Matatizo Kwenye JAMII ambayo huathiri afya kwa Ujumla

Haya ni Baadhi ya Matatizo Kwenye JAMII ambayo huathiri afya kwa Ujumla,

Hapa ni Orodha ya baadhi ya matatizo ambayo huathiri Afya ya Jamii kwa Ujumla wake,

Tupambane, tujikinge, tuwe na Afya Bora zaidi;

1. Uwepo wa Magonjwa mbali mbali ya Mlipuko na yasioyamlipuko kama vile;

– Kipindu pindu,

– Corona

– Ebola

– Magonjwa ya Zinaa kama vile; Kisonono,Kaswende,Pangusa n.k

– Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI(HIV/AIDS)

– Magonjwa ya Moyo

– Homa ya Matumbo(Typhoid)

– Ugonjwa wa Amoeba

– Ugonjwa wa Malaria

– Magonjwa ya Figo

– Magonjwa ya Ini

– Magonjwa ya Mapafu

– Ugonjwa wa Kisukari

– Ugonjwa wa Presha

– Tatizo la Vidonda vya Tumbo

– Mzio au Allergies za aina mbali mbali

– Ugonjwa wa UTI

– Ugonjwa wa Fangasi

– Tatizo la Hormone Imbalance

– Maambukizi ya bacteria kwenye Via vya Uzazi vya Mwanamke(PID)

– Saratani/Kansa za Aina mbali mbali kama vile;

• Saratani ya Mapafu

• Saratani ya Damu

• Saratani ya Matiti

• Saratani ya Mlango wa Kizazi

• Saratani ya Mifupa

• Saratani ya Utumbo,tumbo n.k

– Tatizo la Tezi Dume N.k

2. Tatizo la kuwa na Uzito Mkubwa(Overweight/Obesity)

3. Matumizi ya dawa za kulevyia kama vile coccaines,N.k

Uvutaji wa Sigara,tumbaku,Kula Ugoro, matumizi ya Pombe kupita Kiasi n.k

4. Matatizo yanayohusu afya ya Akili(Mental Health)

5. Ajali za aina mbali mbali(Injuries and Violence)

6. Matatizo kwenye mazingira ikiwemo mabadiliko makubwa ya hali ya hewa; Uchafuzi wa hewa,maji,Aridhi,tatizo la mafuriko,Ukame,Njaaa,Joto kuwa kali zaidi n.k

7. Tatizo la Ukatili wa Kijinsia, Vitendo vya Ubakaji,Ulawiti N.k

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.