Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Je kila baada ya Kula Nyama au baadhi ya Mafuta ya kupikia,unaanza kuwashwa na ngozi kubadilika kama Hivi?

Je kila baada ya Kula Nyama au baadhi ya Mafuta ya kupikia,unaanza kuwashwa na ngozi kubadilika kama Hivi?

Chanzo chake ni nini? Soma zaidi hapa;

Kwa asilimia kubwa chanzo cha tatizo hili ni Mzio au allergic reaction dhidi ya baadhi ya vitu hasa vyakula kama vile baadhi ya Nyama au mafuta yakupikia,

Hali hii ya allergy au Mzio huifanya ngozi yako ya mwili kuwasha sana na kuwa kama kwenye picha hapo.

KAMA UNA SHIDA HIYO CHECK INBOX +255758286584 KWA MSAADA ZAIDI

SOMA ZAIDI HAPA; Mzio au Allergy baada ya kula baadhi ya vyakula,Kuvimba Mwili n.k

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.