Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Magonjwa yasioyakuambukiza yaani Noncommunicable diseases (NCDs),chanzo kikubwa cha VIFO,

Magonjwa yasioyakuambukiza yaani Noncommunicable diseases (NCDs),chanzo kikubwa cha VIFO,

Kwa hivi Sasa magonjwa yasioyakuambukiza yaani Non-Communicable Diseases huongezeka kwa Kiwango kikubwa sana,

Magonjwa hayo ni Pamoja na;

• Ugonjwa wa Kisukari

• Magonjwa ya Moyo

• Tatizo la Kiharusi au STROKE

• Ugonjwa wa Presha

• Tatizo la Saratani/Kansa n.k

na Asilimia kubwa ya Magonjwa kama hayo huchangiwa na Mtindo mbaya wa Maisha(Bad Lifestyles)

Matokeo Yake VIFO vingi huongezeka Duniani Kote kutokana na Magonjwa haya,

shughulisha mwili wako mara kwa mara, Kuwa hai!

Kushughulisha Mwili ikiwa ni Pamoja na Kufanya MAZOEZI kila Siku husaidia kupunguza hatari ya magonjwa mbalimbali,

Jenga Tabia ya Kufanya Mazoezi Na Boresha Afya Yako…!!!!

#Ushauri #Elimu #Goodlifestyles

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.