Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Dalili za Ugonjwa wa USUBI,chanzo na Tiba yake

Dalili za Ugonjwa wa USUBI,chanzo na Tiba yake

• • • •

UGONJWA WA USUBI

Ugonjwa wa Usubi ni miongoni mwa magonjwa ambayo huwapata watu mbali mbali,huku chanzo chake kikubwa kikiwa ni minyoo,

Katika Makala hii tunachambua Zaidi kuhusu Dalili za Ugonjwa wa USUBI,chanzo cha Ugonjwa wa Usubi pamoja na Tiba yake,

Chanzo cha Ugonjwa wa Usubi

Ugonjwa wa Usubi ni ugonjwa ambao chanzo chake kikuu ni minyoo, hivo ugonjwa huu husababishwa na aina ya minyoo ambayo kwa kitaalam hujulikana kama ONCHOCERCA VOLVULUS.

Lakini husambazwa kutoka  kwa binadamu mmoja kwenda kwa mwingine baada ya kung’atwa na nzi weusi au Blackflies.

Maeneo ambayo Ugonjwa wa Usubi upo kwa kiwango kikubwa

Ugonjwa Wa Usubi Umeathiri Mikoa Mbali Mbali Hapa Nchini Na Mikoa Ambayo Ilionekana Kuwa Na Hatari Ya Watu Kupata Ugonjwa Wa Usubi Ni Kama Vile;

  • Tanga
  • Ruvuma
  •  Iringa

Dalili za Ugonjwa wa USUBI

DALILI ZA UGONJWA WA USUBI NI PAMOJA NA;

1. Mgonjwa kupata viupele upele kwenye ngozi yake ya mwili

2. Mgonjwa kupatwa na shida ya upofu wa macho

3. Mgonjwa kupatwa na miwasho ya mara kwa mara kwenye ngozi yake ya mwili

4. Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa

5. Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula

6. Ngozi ya mwili kuchuchuka n.k

Hizo ndyo baadhi ya Dalili za Ugonjwa wa Usubi

MATIBABU YA UGONJWA WA USUBI

Moja ya dawa kubwa ambayo hutumika kwa mtu mwenye ugonjwa wa Usubi ni pamoja na  Ivermectin ambayo hutumika kuua Minyoo hii ya ONCHOCERCA VOLVULUS.

Lakini pia njia nyingine ambazo huweza kutumika ni pamoja na upuliziaji wa dawa maalumu kwa ajili ya kuua hawa Nzi weusi au BlackFlies.

FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je,Dalili za Ugonjwa wa USUBI ni Zipi?

DALILI ZA UGONJWA WA USUBI NI PAMOJA NA;

1. Mgonjwa kupata viupele upele kwenye ngozi yake ya mwili

2. Mgonjwa kupatwa na shida ya upofu wa macho

3. Mgonjwa kupatwa na miwasho ya mara kwa mara kwenye ngozi yake ya mwili

4. Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa

5. Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula

6. Ngozi ya mwili kuchuchuka n.k

Hizo ndyo baadhi ya Dalili za Ugonjwa wa Usubi

Hitimisho

Ugonjwa wa Usubi ni miongoni mwa magonjwa ambayo huwapata watu mbali mbali,huku chanzo chake kikubwa kikiwa ni minyoo,hivo ugonjwa huu husababishwa na aina ya minyoo ambayo kwa kitaalam hujulikana kama ONCHOCERCA VOLVULUS.

Baadhi ya dalili za Ugonjwa wa Usubi ni pamoja na;Mgonjwa kupata viupele upele kwenye ngozi yake ya mwili,Mgonjwa kupatwa na shida ya upofu wa macho,Mgonjwa kupatwa na miwasho ya mara kwa mara kwenye ngozi yake ya mwili n.k

Ukiona dalili kama hizi wahi hospital kwa ajili ya uchunguzi Zaidi.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.