Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
MagonjwaUtafiti

Utafiti:Uhusiano wa Mtu kusafiri pamoja na kuwa na afya bora zaidi,

Utafiti:Uhusiano wa Mtu kusafiri pamoja na kuwa na afya bora zaidi,

Mbali na changamoto nyingi ambazo zipo kwa Sasa duniani ikiwemo changamoto ya magonjwa kama vile Uviko-19(COVID-19), Ebola n.k

bado tafiti zinaonyesha Swala la Mtu kusafiri au kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni bora zaidi kiafya,

Kutokana na Utafiti(Research) ambao ulifanyika, utafiti huu ulihusisha Idadi ya watu(population) kutoka Uingereza(United Kingdom),

ambapo matokeo yalionyesha badala ya kuwa hatari kiafya,watu huimarika na kuboreka kiafya zaidi endapo husafiri kutoka eneo moja kwenda lingine.

Moja ya Sababu ni kwamba, endapo mtu hasifiri kabsa basi hupunguza kwa kiasi kikubwa social interactions na kuongeza zaidi hali ya upweke,

Angalau hata kwa nchi zetu kama Tanzania, ila utakuwa shahidi hali ya Upweke zaidi hasa kama unaishi kwa nchi kama Marekani.

Hivo kusafiri kutoka eneo moja kwenda jingine hupunguza zaidi hali ya Upweke kwa Mtu,

Utafiti huu uliangazia zaidi Kaskazini mwa Uingereza, eneo lenye matokeo duni ya kiafya kuliko maeneo mengine ya Uingereza, na huduma chache za usafiri nje ya maeneo makubwa ya mijini.

Utafiti mwingine kuhusu kusafiri na faida kiafya uliofanywa na watafiti katika Kituo cha Mafunzo ya Usafiri cha Chuo Kikuu cha London nchini Uingereza, yaani University College London’s Centre for Transport Studies, unaonyesha watu wanavyohisi kwamba kutokusafiri ni jinsi gani huathiri afya zao.

Utafiti huo unaonyesha kwamba watu ambao wanakabiliwa na vikwazo katika uwezo wao wa kusafiri nje ya eneo lao, au kwa maeneo mengi kama wangependa, wanaripoti afya mbaya, ambapo wale ambao wanaweza kusafiri mbali na nyumbani wanahisi kuwa wanapata afya bora.

Matokeo yake yanaonekana katika Journal of Transport & Health.

Watafiti hawa walipokea ufadhili kutoka kwa shirika la usafiri la U.K. Transport for the North kwa ajili ya utafiti wao.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.