News
Nahisi Dalili zote za Mimba ila toka Nijifungue Sijaona Hedhi yangu
Wanawake wengi baada ya Kujifungua husubiri kwanza mpaka waanze kuona hedhi,ndipo waanze kuchukua tahadhari ya Kujikinga na mimba,
tabia hii imefanya wanawake wengi kubeba mimba wakati bado wana watoto wadogo kabsa,
Unachotakiwa kujua ni kwamba hedhi ni matokeo kwamba hakuna Mimba au Urutubishaji wa Yai,
Hivo kama mzunguko wako wa hedhi umerudi sawa,unaweza beba mimba hata kabla ya kuona hedhi tena,
Chukua tahadhari.!!!!