Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Je unaweza kupata UKIMWI kwa kushare vijiko?

Hapana, Baadhi ya watu bado wanaonyesha Unyanyapaa kwa Wagonjwa wa UKIMWI,

Ikiwa ni Pamoja na Kuepuka kutumia Vijiko,Sahani, Vikombe na Vitu jamii ya hivi pamoja na Waathirika wa Ukimwi,

huu ni Unyanyapaa tu, Unachotakiwa kufahamu huwezi kupata maambukizi ya Ukimwi kwa njia kama hii.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.