Ugonjwa wa upele kwa watoto,chanzo chake
Ugonjwa wa upele kwa watoto,chanzo chake
Katika Makala hii tumechambua na kuorodhesha Sababu za ugonjwa wa upele kwa watoto.
Ugonjwa wa upele kwa watoto
Baadhi ya watoto hupatwa na tatizo la upele(rashes) kwenye ngozi, je ni nini chanzo cha ugonjwa wa upele kwa watoto? Soma hapa kufahamu.
Chanzo cha ugonjwa wa upele kwa watoto
Hizi hapa ni Sababu mbali mbali zinazoweza kusababisha tatizo au ugonjwa wa upele kwa watoto;
1. Tatizo la cellulitis
2. Ugonjwa wa tetekuwanga(chickenpox)
3. Ugonjwa wa pumu ya ngozi au tatizo la eczema
4. Tatizo la erythema multiforme
5. Baadhi ya magonjwa yanayoshambulia maeneo kama vile;
- Mikononi
- Miguuni
- Pamoja na mdomoni
(hand, foot and mouth disease )
6. Tatizo la impetigo
7. Tatizo la keratosis pilaris (“chicken skin”)
8. Ugonjwa wa Surua kwa watoto(measles)
9. Tatzo la molluscum contagiosum
10. Ugonjwa wa pityriasis rosea
11. tatizo la prickly
12. Tatizo la psoriasis
13. mashambulizi ya baadhi ya minyoo(ringworm)
14. Ugonjwa wa scabies, Ugonjwa huu huweza kusababisha upele kwenye ngozi ya mtoto pia.
15. Tatizo la scarlet fever
16. Tatizo la slapped cheek syndrome
17. Ugonjwa wa urticaria (hives) n.k
Hizo ndyo baadhi ya Sababu za ugonjwa wa upele kwa watoto
Dawa ya ugonjwa wa upele kwa watoto
Matibabu au Dawa ya Ugonjwa wa upele kwa watoto hutegemea na chanzo chake,
Hivo ni muhimu zaidi kufanya vipimo au kuongea na wataalam wa afya ili kujua chanzo husika cha tatizo au ugonjwa wa upele kwa watoto kabla ya kupewa dawa.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.