Leo ni Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani,happy Nurses day,upungufu wa wauguzi na wakunga milioni 3 katika bara la Afrika
Leo ni Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani,happy Nurses day,upungufu wa wauguzi na wakunga milioni 3 katika bara la Afrika
WHO-Afrika
Ifikapo 2030, ikiwa hakuna uwekezaji wa haraka utakaofanywa, kutakuwa na upungufu wa wauguzi na wakunga milioni 3 katika bara la Afrika
Wauguzi wana jukumu muhimu katika utoaji wa huduma ya afya ya msingi, mara nyingi huwa mtaalamu wa afya wa kwanza na pekee ambaye mgonjwa atamuona.
” By 2030, if no urgent investments are made, there will be a shortage of 3 million nurses & midwives in the #African Region ?
Nurses play a critical role in primary health care delivery, often being the first & only health professional a patient will see”.
✅Invest in nurses.