Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Majaribio ya chanjo dhidi ya homa ya Lassa nchini NIGERIA kuanza rasmi

Majaribio ya chanjo dhidi ya homa ya Lassa nchini NIGERIA kuanza rasmi

Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa upande wa Nigeria yaani “The Nigerian Centre for Disease Control and Prevention”

kimetangaza kuwa kinafanya kazi ya majaribio ya chanjo dhidi ya homa ya Lassa nchini humo(clinical trial for Lassa fever vaccine).

Haya yalibainishwa mnamo Jumanne, Mei 2, na Mkurugenzi Mkuu wa NCDC, Ifedayo Adetifa.

Akizungumza katika kongamano la utafiti wa homa ya Lassa na warsha iliyoandaliwa na  NCDC kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha London na Johns Hopkins Mpango wa Elimu ya Kimataifa katika Magonjwa ya Wanawake na Uzazi,

Adetifa alisema;

“the first phase of the clinical trials, which are human trials to establish safety, would be held in Ghana, while the later stages focusing on immunity and efficacy, among others, would be done in Nigeria”.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.